Psalms 119:98


98 aAmri zako zimenipa hekima zaidi kuliko adui zangu,
kwa kuwa nimezishika daima.
Copyright information for SwhKC